Kiswahili kama mojawapo ya lugha inayozungumzwa nchini kenya.Ni vyema wanafunzi wanaochukulia kozi ya Social Work kuweza kuitumia katika mawasiliano yao katika jamii.
Katika sura hii ya kwanza tutaweza kushughulikia ngeli.
- Teacher: Beatrice Akoth
- Teacher: Ruth Ogongi